Katika Muaka uliopita wa 2023, ulikua na vitendo vingi, lakini kufika Kwa Hotuba ya Raisi wa Nchi ya Burundi, Evariste Ndayishimiye ikachangaaza wengi.
Wana nchi wa Burundi wali huzunika baada ya maneno alisemwa na Raisi wa Nchi Yao.
Raisi Evariste Ndayishimiye, aliasili eneo ya Cyankuzo, nchini huomo walizungumza au walijadili, kuhusu kupanda Kwa bei ya vya kula sokoni na kuuza na kununua.
Katika mazungumzo hayo, Raisi alizungumza na mabingwa wa walimaaji na wasimamizi wa kampuni za walimaaji na wenyemali wa Nchi, aliwauliza walipo kutania hapo sababu imewakosesha kutofanya stoke labda wakasema bei imepanda juu.
Katika sipichi hio, kupitia sipichi alisemea hapo kulisikika msemo ulizarauliwa na wengi kupitia kwenye fasi za mitandao kadaa na pia wakasema hapo ni kujiona au kujifalagua, hayo si maneno yanaweza kusemwa na mtu kama Raisi.
Mengineyo alisemwa naye pekee:“Jinsi gani mnasema bei ilipanda , wakati mine nilipeleka stoke inaetosha, baada ya hapo siwezi kujua namna bei ilipanda na kinacho iliwaepusha kufanya kama nilivyo Fanya”.
Baada ya maneno hayo alisemwa na Raisi, wengine walisambaza video hiyo kwenye mitandao na Kuaanza kumsemea mabaya juu ya hayo.
Mmoja Wana nchi hataki kutangaza majina yake, anae ishi mjini Bujumbura, baada ya kuzungumza na mtangazaji wa THEUPDATE, na huzuni nyingi sana alisema namna walizalaulishwa sana na hotuba ilisemwa na Raisi Yao, na kushangaa sana, eti Mimi na wenzangu tulikosa cha kusema Kwa kuwa hivyo ni vya kawaida nchini kwetu.